WAAJIRIWA WA POSTA WAPIGWA KALAMU

Hujambo?
Tangu gharama ya maisha ianze kukata mbele na nyuma katika matabaka yote kote, Kenya imekuwa ikishuhudia migomo ya wafanyikazi wa umma wakidai haki zao. Kwanza ulikuwa wa walimu, pili, wa wahadhiri na tatu, wa daktari na sasa wafanyikazi wa Posta.
Kinachoshangaza ni kwamba, walimu, wahadhiri na daktari walipogoma, hakuna yeyote alipigwa kalamu au aliyepokea vitisho kama hivyo. Baada ya wafanyikazi 600 wa posta kugoma, wamepokea barua za kuwaachisha kazi kwa kudai kuwa mgomo huo haukuwa halali. Swali ni, katiba inaeleza nini kuhusu mgomo? Je, wafanyikazi wa Posta wametendewa haki? Toa maoni yako

Comments

  1. It's the result of a military man running a civilian organisation.

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

KUDORORA KWA KISWAHILI NCHINI

MIGUNA MIGUNA MITINI